ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za Ushirikiano katika Usafirishaji na Usambazaji Umeme
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika teknolojia ya kisasa ya… Read More




